Shirika la kuhudumia
watoto duniani UNICEF Tanzania
limewashauli wazazi na walezi namna yakulea watoto kwa kuzingatia kanuni za
vyakula ili kuijenga afya ya mtoto, Shirika hilo limesema kwamba mama
anatakiwakuanza kula chakula cha ziada wakati mtoto wako atakapomaliza miezi 6,
na kuendelea kunyonyesha hadi miezi 24.