Nikiona mtoto mwenzangu anafanyiwa ukatili, mimi
kama mtoto nina wajibu wa kutoa taarifa sehemu husika kama vile kwa wazazi,
polisi, vyombo vya habari, serikali za mitaa au mashirika Hayo nimaoni ya Diana,kutoka shule ya sekondari Kitunda jijini Dar es salaam nchini Tanzania, Hiitaarifa ni kwamjibu wa CDF Tanzania.