Unganeni nami kutoa wito wa kila mtu
apate huduma ya afya! hayo yamezungumzwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifan
Antonio Guterres, kwenye ujumbe wake wa siku ya afya duniani

Wazazi wakiwa na uhakika wa tiba na
chanjo kwa watoto wao, nao pia wanaweza kushiriki kwenye shughuli za kujikwamua
kiuchumi. Hapa ni Sierra Leone watoto wakipatiwa chanjo dhidi ya Polio,7 Aprili
2018

Katika siku ya afya duniani hii leo, Umoja wa Mataifa unaendelea kupigia
chepuo haki ya msingi ya kila mtu kupata huduma ya afya popote pale alipo. Umaskini unaongezewa kasi kwani watu wanatumia
fedha nyingi kwenye matibabu.
Bwana Guterres anasema WHO ambalo ni shirika
la afya ulimwenguni lilianzishwa miaka 70 iliyopita kwa msingi kwamba kupata
huduma bora ya afya ni haki ya kila mtu.

Ingawa hivyo anasema hadi leo hii
bado watu wanakosa huduma muhimu za afya licha ya kauli mbiu ya afya kwa wote,
UHC Taarifa hii nikwamjibu wa UN RAADIO.