Watu milioni 795
– moja kati ya watu tisa – bado wanalala njaa bilakula chakula kila siku
hali hii ikoje kwenye jamii yako shirika la FAO linajitahidi kuhakikisha watu
wanapata chakula kila familia ifikapo mwaka 2030 , jitahidi kuwasaidia walio na
uhitaji wa chakula wakiwemo watoto.