Bila tishio la
unyanyasaji katika maisha yao, watoto wanaweza kuendeleza vipaji na
ujuzi wao kwa uwezo wao wote na kuunda maisha yao ya baadaye. Uwezo wa mabadiliko mazuri ni bora kwa watoto na jamii.kwa maelezo zaidi tembelea CCRD Kenya.
Ukigundua nini mtoto anapenda huo ndio mwanzo wa kugundua mafanikio yake.
Leave a comment