Mkurugenzi mkuu wa WHO Dr.Tedros Adhanom Ghebreyesus Ameandika kwenye ukurasa wake wa tweeter Leo akasema nilikuwa na nafasi ya kucheza mechi na watoto ya haraka huko nchini Cuba ili kukuza chanjo kwa ya watoto hao na,Washiriki wenzake walikuwa wa haraka sana na wenye afya!
Dr.Tedros Adhanom Ghebreyesus akicheza na watoto.
Leave a comment