Watoto milioni 7.6 kila mwaka hawanyonyeshwi maziwa ya mama hasa katika
nchi tajiri duniani kote.
nchi tajiri duniani kote.
Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa leo na shirika la watoto duniani UNICEF,
unaonyesha kuwa maziwa ya mama yanaokoa maisha na kuwalinda watoto dhidi ya
magonjwa.

Nchi zenye kipato cha juu wawajawahi kunyonyesha watoto kwa wastani wa
asilimia 22, ikiwa nchi zenye kipato cha chini na cha kati hawajawahi
kuwanyonyesha kwa kiwango cha asilimia 4.

Utafiti huo, wa watoto unauwezekano mkubwa wa kunyonyeshwa kwa wakati
mmoja, kwa asilimia 99 katika nchi ya Bhutan, Madagascar na Peru ikiwa watoto waliozaliwa
Ireland wana asilimia 55, Marekani kwa asilimia 74 huku nchi ya Hispania yenyewe ina asilimia 77% .