Kulwa na Doto ambao nimapacha (Winfrida na Willfrida Thomasi) wamesikitishwa kwa msiba wa Maria na Consolata mapacha walio ungana walio fariki mapema wiki hii , Pia wametoa maoni ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika ambayo huadhimishwa kila tarehe 16 jun ya kila mwaka serikali inatakiwa kuitangaza ipasavyo hasa mashuleni kwa wana funzi wenyewe kani maadhimisho haya yalitoktna na kudai Elimu bora nchini kwao.