Canada imesema ina mipango ya
kuchangia kiasi cha pauni bilioni 2.9 ikisaidiwa na nchi washirika wa G7 kwa
ajili ya kusaidia elimu ya wasichana na wanawake walio masikini

Fedha hizo zitasaidia kuhakikisha
kuwa mpango wa wasichana na wanawake kupata elimu sawa na wavulana na kuwezesha
fursa za kujifunza katika nchi mbalimbali duniani, Serikali ya nchi hiyo
imeeleza.

Tangazo hili la siku ya Jumamosi
limekuja kwa kuchelewa kwa kuwa nchi washirika wakiwemo Ujerumani,Japan,
Uingereza, Umoja wa Ulaya na Benki ya dunia zilikuwa zikiendelea kuchangia

Mkutano wa G7 uliofanyika Quebec ni
mkutano wa mwaka unaokutanisha nchi za Canada, Marekani, Uingereza, Ufaransa,
Italia, Japan na Ujerumani.

Changamoto ya elimu inayowakabili
wasichana duniani
wasichana duniani
Serikali ya Canada imesema kujitoa
kwa ajili ya kuchangia elimu kunawakilisha ”uwekezaji mmoja mkubwa katika
elimu kwa ajili ya wanawake na wasichana wanaokuwa katika mazingira yenye
changamoto kadha wa kadha”.

Uwekezaji huu unaelezwa kuwa utaweza
kuwasaidia watoto na vijana wadogo zaidi ya milioni nane.

Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel
Malala Yousafzai, 20 ameunga mkono zoezi hilo la uchangaji fedha.