Wananchi
mkoani Tabora wametakiwa kutowashirikisha watoto katika jambo lolote litakalo
gharimu muda wao wamasomo ili kuhakikisha kilamtoto anapata haki yake ya
kikatiba ya kupata elimu itakayomjengea msingi mzuri wa kimaisha.

Hayo
yameelezwa leo na Naibu waziri ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za
mitaa-TAMISEMI JOSEPH KAKUNDA wakati wa
maandamano ya amani mkoani hapa yakupinga utoro wa watoto shuleni na
utumikishwaji wawatoto yaliyofanyika kuanzia sanamu ya mwl.Nyerere hadi ofisi
za mkuu wa mkoa yakiwa na lengo la kuhamasisha jamii kupinga vitendo hivyo.

Aidha Kwaupande
wake mkuu wa mkoa wa Tabora AGREY MWANRImuandaaji na msimamizi wa kampeni hiyo
amewaonya watoto kutoonekana katika maeneo hatarishi ambapo pia amewataka
wananchi na viongozi kutotumia vitendo vya rushwa wakati wazoezi hilo endelevu
na kusemakuwa mzazi yeyote atakaye tii amri kwa hiari kuanzia sasa hatahusishwa
katika adhabu zilizopangwa.

Hata hivyo mwanasheria mkuu wa mkoa wa Tabora RICHARD RUGOMELA ametolea ufafanuzi
wakisheria juu ya zoezi hilo ambapo ameeleza maamlaka aliyonayo kiongozi husika
katika kutekeleza amri aliyoisimamia kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya
muungano wa Tanzania.

Kampeni
hiyo ya kupinga utoro wa watoto shuleni na utumikishwaji wa watoto iliyo
na kaulimbiu isemayo kamata weka ndani
kwakutotii amri halali ikisimamiwa na mkuu wa mkoa wa Tabora inalenga kuinua
kiwango cha elimu mkoani hapakwa kukomesha utoro wa wanafunzi shuleni, ambapo
mkoa wa Tabora inajumla ya wanafunzi watoro
11004 katika shule zote za msingi na sekondari.