“Muziki
uliokoa maisha yangu” kauli hiyo yenye matumaini na yenye lengo la
kuwahamasisha wakimbizi wanaopitia zahma mbalimbali duniani ni kutoka
kwa Mariela Shaker mkimbizi kutoka Syria aliyepata bahati ya kipekee ya
kusoma kusoma katika chuo kikuu cha muziki cha Monmouth, Illinois
Marekani.

Bi. Shaker
ambaye ni mtaalamu wa kupiga fidla amesema hayo wakati akizungumza
katika hafla ya mwaka ya wabunifu wa masuala ya kijamii inayofanyika
kila mwaka huko bonde la ubunifu la Silicon jijini San Fransisco nchini
Marekani.
Kumbukumbu zikamjia za madhila yaliyomkuta siku ya shambulio
lililowauwa zaidi ya wanafunzi 82 katika chuo cha Aleppo nchini Syria
mwaka 2011… Habari hii nikwa mjibu wa radio ya UN RADIO.