Ujenzi wa Jengo la Mama & Mtoto Hospitali ya
Rufaa Sekou Toure, Mwanza. Kwa 2018/19 tumetenga Tsh 1.5b kwa ajili ya
kuendelea na ujenzi huu. Tumedhamiria kuboresha huduma za Afya ya Mama &
Mtoto nchini kwa kujenga miundombinu muhimu katika ngazi zote na kuongeza
Wataalam watakao toa huduma hizo kwenye maeneo yote ya Hospitali hizo.

Hatahivyo Mh.Ummy amebainisha kwamba Kikubwa zaidi nikuhakikisha kwamba Mama
hatapata tabu iwapo ana tatizo la linalo mkabili mara moja linatakiwa
kutatuliwa , Vilevile Matibabu juu Mtoto yanapaswa kuwa ya Uhakika kwakila kituo
cha Afya hapa nchini.