Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee
na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amezindua mpango wa mafunzo kwa
wanafunzi na walimu ili kupambana na vitendo vya ukatili wa jinsia shuleni.

Akizungumza katika uzunduzi wa mafunzo hayo uliofanyika
katika Shule ya Sekondari Mwisenge Dkt. Ndugulile amesema kuwa vitendo vya
Ukatili wakijinsia hususani ukatili dhidi ya wanawake na watoto umeendelea
kuwepo chini na takwimu zikionesha mkoa wa Mara ukiwa na asilimia 32 ya vitendo
hivyo.

Ameongeza kuwa mimba na ndoa za utotoni bado ni tatizo
kubwa ambapo mkoa wa Mara ni wa tano kitaifa kwa kuwa na asilimia 37.

“Serikali imeeandaa Mpango wa kazi wa Kitaifa wa
Kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa mwaka 2017/18-2021/22 na moja
kati ya msisitizo katika mpango huu ni kutokomeza ukatili wa kijinsia shuleni”
alisisitiza Dkt. Ndugulile

Aidha Dkt. Ndugulile amekemea mahusiano ya kingono
yaliyopo baina ya walimu na wanafunzi na kuwataka wanafunzi kuacha kufanyiana
vitendo vya ukatili na kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Musoma Bw.Vicent Naano
amesema kuwa wataendelea kupambana na wale wote waatakaosababisha au kuwafanyia
wanawake na watoto vitendo vya ukatili. Pia Mwakilishi wa Mkurugenzi wa USAID.

Ameihakiishia
Serikali ya Tanzania kuendeleoa kushirikiana nayo katika mapambano dhidi ya
ukatili dhidi ya wanawake na watoto na mimba na ndoa za utotoni.

Mpango huu wa mafunzo kwa walimu na wanafunzi utawafikia
walimu 1,300 na wanafunzi 26,000
walimu 1,300 na wanafunzi 26,000