WAZAZI
na Walezi watakaobainika kutopeleka watoto wao shule au kuwaozesha katika umri
mdogo wilayani Igunga Mkoani Mkoani Tabora watakamatwa na kuchukuliwa hatua
kali za kisheria.

Agizo
hilo limetolewa na Kaimu Katibu Tawala wa wilaya hiyo Shadrack Kalekayo
alipokuwa akiongea na wananchi katika kijiji cha Mwakipoleja kilichoko katika
kata ya Mbutu wilayani humo.

Aidhasema hakuna sababu yoyote ile ya msingi
inayoweza kumzuia mtoto wa kike au kiume mwenye umri wa kwenda shule asipelekwe
kupata elimu kwa sababu serikali imeweka mazingira mazuri ya elimu kwa watoto
wote.

Hata hivyo serikali ya awamu ya tano chini ya
Rais John Pombe Magufuli iliamua kufuta ada na michango yote kwa wanafunzi wa
shule za msingi na sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne) ili kuwawezesha
kupata elimu pasipo kikwazo chochote.

Nd. Shadrack
dhamira ya serikali ni njema kwa kuwa
baadhi ya watoto walikuwa hawapelekwi shule kwa kisingizio cha ada na michangokuzidi,
michango na ada zote zimefutwa, pelekeni watoto wenu katika shule za awali,
msingi na sekondari, elimu ni bure.