Wazazi mkoani Morogoro wametakikiwa
kuwanyonyesha watoto wao kuanzia miaka sifuri hadi miaka miwili ili
kuwakinga na magonywa yatokanayo na lishe duni.

Akizungumza na Tanzaniakidstime Afisa Lishe wa kituo cha Afya cha sabasaba Mkoani
Morogoro ESTER KAWISHE amesema kuwa ,maziwa ya mama humkinga mtoto dhidi ya
magonjwa ukiwemo Utapiamlo, ikiwa maziwa hayo yanavirutubisho vyote ambavyo
mtoto huhitaji.

Pia Afisa Lishe ESTER, ametoa wito
kwa wazazi wa kiume kuwa karibu na kinamama kwa kuwasaidia kutekeleza
unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto.

Kwa upande wake mmoja wa akinamama
wanao nyonyesha mtoto Bi. CHRISTINA SEVELIN amesema
kuwa, baadhi ya kinamama huanza kuwapa vyakula watoto kabla ya wakati,
kwa kisingizio cha kutotosheleza maziwa kwa mama mzazi.

Hata hivyo wakati ulimwengu
ukiadhimisha wiki ya kimataifa ya kunyonyesha mtoto na kuelezea faida zake kwa
wazazi na taifa, wakazi wa dunia wanahamashishwa kufahamu umuhimu wa maziwa ya
mwanzo kabisa ya mama kwa mtoto .

Takriban 40% tu ya watoto wachanga
wenye umri kati ya miezi 0 hadi 6 ndio wanaoishi kwa kunyonyeshwa pekee, kwamjibu
wa shirika la Afya duniani WHO.