Kulingana na wiki ya umuhimu wa unyonyeshaji UNICEF TANZANIA imesema Uyonyeshaji ni jukumu la kila mtu katika nafasi yake. Familia, viongozi
ngazi ya jamii, wafanyakazi wa afya, wataalamu wa masuala ya
unyonyeshaji na marafiki sote tunawajibika.
UNICEF TANZANIA imesema nimuhimu kumnyonyesha mtoto saa ya kwanza baada ya kuzaliwa.
Leave a comment