Hadithi
nimoja ya mafunzo makubwa
yanayotolewa kwa watoto wadogo kuanzia umli wa mwaka mmoja
hadi miaka 20 kwakiasi kikubwa lengokuu la hadithi nikuendeleza elimu , kuongeza maarifa , na upambanuzi wa
mambo mengi ya dunia.

Veronica
Kapaya yeye ni bibi mwenye umli zaidi yamiaka 70 amesema
hadithi nikitu cha msingi sana kwajamii, zamani wakati wautoto wao
mafundisho mengi waliyapata kupitia hadithi walizo simuliwa na bibi,babu na
wazazi wao lakini kwasasa watoto na vijana wengi wao hawako tayali kukaa
nakusikiliza hadithi hizo.

Tanzaniakidstime ilifanikiwa kutembelea kituo
cha kulelea watoto na wazee wasio jiweza kilichopo Changalawe mzumbe wilayani
mvomero mkoa wa morogoro kinacho milikiwa na shirika lisilo la kiserikali Childhood
Development Organisation na kufanya mahojiano na walimu ambao ni wazee wanaowafundisha
watoto hadithi za zamani kilasiku ya ijumaa.

Aidha bi,
Mwajuma Saidi alisimulia hadithi inayo zungumzia wizi ambayo fundisho lake
nikuwakanya watoto kuacha kutamani vitu visivyo halali yao kwani nidhambi mbele
za mungu na nikinyume cha sheria, mazara yake nikupata Ulemavu, kuuwawa au
kifungo cha maisha.

Hata hivyo
Asha Boko nimwanafunzi wa chekechea alisema anapenda na anafurahishwa na hadithihizo
zinazo simuliwa hapo shuleni.