Jeshi la
polsi mkoa wa Morogoro linawashikilia wanawake wawili kwa kosa la kuwafanyia
ukatili watoto wao likiwemo tukiuo la mtoto kupigwa na kuingiziwa mwiko sehemu
zake za siri katika kata ya KIHONDA.

Akizungumza
na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro
kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi WILBROAD MUTWAFUNGWA amemtaja NAOMI JUMA
ambaye ni mama mdogo wa mototo wa miaka
sita aliyekatiliwa na kuingiziwa mwiko
sehemu za siri katika kata ya KIHONDA Manispaa ya Morogoro.

RPC
MUTWAFUNGWA pia amethibitisha kukamatwa
mwanamke mmoja kwa kosa la
kumwadhibu kwa kumchapa fimbo mototo wake mwenye miaka 11na kumsababishia kifo
wilayani GAIRO.
Mutafungwa
amesema mtoto huyo ambaye jina lake
limehifadhiwa alikua mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi GAIRO.

Katika hatua
nyingine kamanda MUTAFUNGWA amekiri jeshi la polisi kuendelea kuchunguza tukio
la mhalifun aliyemuiba mototo wa Bi RAHELI STANFOD

katika eneo
la kituo cha mabasi cha mkoa Msamvu.
la kituo cha mabasi cha mkoa Msamvu.
MUTAFUNGWA
ametoa tahadhari kwa wazazi kuwachunga vyema watoto wao na kutowaamini mapema
watu hususani wasiowafahamu