muhimu yaliyofanyika katika utaratibu wa sheria za Lebanon kuhusu
usajili wa watoto umewezesha zaidi ya watoto 50,000 wakimbizi kutoka
Syria waliozaliwa Lebanon tangu mgogoro uanze nchini mwao kuweza
kusajiliwa.
Kusini mwa Lebanon katika moja ya kambi za wakimbizi wa Syria.
Awali watoto wa wakimbizi wa Syria waliozaliwa nchini Lebanon na kukosa
kusajiliwa ndani ya mwaka mmoja baada ya kuzaliwa, walipata taabu
kupata cheti cha kuzaliwa.
Wazazi walipaswa kulipa hadi dola 1,500 ili kupata cheti, gharama
ambayo ni ya juu na hawakuipatia umuhimu kutokana na mahitaji mengine ya
lazima.
Watoto walikosa huduma muhimu kama afya na elimu.
taarifa hii nikwamjibu wa radio washirika ya umoja wa
Hata hivyo hivi karibuni serikali ya Lebanon ilipitisha uamuzi ya
kwamba watoto wote wa Syria waliozaliwa kati ya Januari Mosi 2011 na
mwezi Machi 2018 wasajiliwe bila gharama yoyote.
Mohammad Jarjowi, ni afisa wa sheria wa kamati ya kimataifa ya uokozi IRC.
“Sasa tunaweza kutayarisha vyeti vya kuzaliwa na kuvisajili katika
masjala ya kigeni hata pale ambapo mtoto alikuwa amepitisha ukomo wa
usajili wa ndani ya mwaka mmoja tangu azaliwe.”
mataifa kutoka New York Marekani.