Wanafunzi wa
shule ya msingi AZIMIO iliopo manispaa ya morogoro wameiomba serikali
iwakumbuke kutatua tatizo la ukosefu wa maji linaloikabili shule hiyo kwa muda
mlefu sasa.

Wakizungumza
na OKOA FM shuleni hapo baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba REHEMA MUSSA na
ABDALAH ATHUMANI wamesema ukosefu wa maji unaweza kusababisha kuenea kwa
magonjwa ya mlipuko na vifo.

Hatahivyo
kwa upande wake mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya msingi AZIMIO, EDITH MKUDE amekili kuwepo kwa tatizo
hilo la maji kwani ni muhimu kwa mkusanyiko wawatu wengi kama shuleni.

Aidha
mwalimu wa taaluma ABEID NAMKAPE amesema adha hiyo ya maji inasababisha kushuka kwa taaluma ya
wanafunzi kwenye masomo yao kwani huchukuwa muda mrefu kutafuta maji kwenye
makorongo yalio mbali na shule hiyo.

Kwa mujibu
wa shirika la umoja wa mataifa takwimu iliyotolewa mwishoni mwa mwezi huu,
asilimia 69 ya shule kote Duniani hazina maji
safi ya kunywa na usafi wa vyoo bora.