Kwa
mujibu wa Takwimu zilizotolewa na POP
SECURITY, shirika la kijamii linalo pambana dhidi ya tatizo la utapiamlo nchini
DRC. jumla ya Watoto tisini na tano walio chini ya umri wa miaka 5, walifariki dunia
kutokana na tatizo hilo tangu Septemba 1 hadi Novemba 15 mwaka huu katika
mji wa KIKWIT.

Aidha Vifo
hivi vilijumuisha pamoja na watoto wakimbizi
walioko ndani ya mji huo wa KIKWIT katika mkoa wa KWILU, ambapo Zaidi ya
asilimia arobaini hadi arobaini na tano wameathirika na ugojwa huo kama alivyo bainisha
Dr,PIERRE MANGEZI, na kuongeza kwamba tatizo hilo ni sugu ndani
ya mkoa wa Kwango.

Takwimu
hizi ziliwasilishwa na shirika hilo la POP SECURITY, mbele ya wakuu na viongozi
wa UNICEF huko KINSHASA, BUREAU ya mashariki, Novemba
12 mwaka huu. Walipo fika KIKWIT, UNICEF ili jionea mtoto mmoja wa mwaka mmoja
akilia katika mikono ya mama yake, kwa ukosefu wa chakula, na mtoto huyo
alikuwa nautapimlo katika kituo cha afya cha MASANGO mkoani KWILU.

“Tunateseka, kuna hata
watoto wetu ambao walikufa hapa, tunawaweka katika masanduku za carton na
kuwazika. Hakuna msaada, “Alilia mzazi mmoja. Mbali Zaidi ni kwamba kila
siku mtoto mmoja ana fariki katika hospitali hio kwa ugojwa huo wa utapia mlo”

aliongeza Dr.Pierre.
Hata hivyo
Baadhi ya Raia wa eneo hilo waliomba
msaada kutoka shirika la UNICEF, lengo kuu likiwa ni kuokoa maisha ya watoto
wao, ambao ni taifa la kesho, huku Msaada mkubwa ukiwa ni kuwatafutia Amani ili
waweze kujilimia mashamba yao wenyewe.