NJOMBE.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini
Tanzania imetoa rambirambi yake kwa familia na jamii mkoani njombe kwa watoto
ambao wameuwawa kikatili wiki chache zilizopita.
Hayo
yamesemwa na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa BW. Alvaro Rodriguez January 29 mwakahuu jijini Dar es salam, mashambulizi
na mauaji ya watoto haikubaliki,Watoto wana haki ya msingi ya kuwa salama na
kulindwa dhidi ya ukatili ili waweze kufurahia utoto wao na kufikia kilele cha
uhai wao.

Aidha Umoja wa Mataifa inajiunga na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kulaani vitendo hivyo , “Sisi Umoja wa Mataifa tupotayari kusaidia
Serikali katika juhudi zao za kushughulikia suala hilo, “alisema Bw Alvaro
Rodriguez,. “Zaidi ya hayo, tunatoa wito kwa wadau wote kuungana pamoja
kuhakikisha kwamba nyumba, shule na jamii ni salama kwa ajili ya watoto.
Hata hivyo Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Bi
Maniza Zaman, amesema.”Aina ya unyanyasaji au matumizi mabaya dhidi ya
mtoto haikubaliki na kitendo chochote kibaya ni ukiukwaji wa haki zao za msingi”.
Maniza Zaman, amesema.”Aina ya unyanyasaji au matumizi mabaya dhidi ya
mtoto haikubaliki na kitendo chochote kibaya ni ukiukwaji wa haki zao za msingi”.