WizarayaAfya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,WazeenaWatotoinalaaninakukemeavikali
vitendovyamauajiyawatotokumi(10)vilivyotokeakatikawilayayaNjombendaniyakipindi
chamweziDesemba2018hadiJanuari2019;nahivyokusababishataharukikubwakwa
familia,jamiinaTaifakwaujumla.Vitendohivihavikubalikikabisakatikajamiiyetuna
vinakiukaSheriazanchiyetu.
Wizarainachukuanafasihiikuzikumbushafamiliazotekatikajamiikuhakikishazinaimarisha
ulinzinausalamawawatoto.Familiazinahimizwakuwaangaliawatotonakujiridhishawakati
wotekuwawatotowakowapi,wakonanani,wanachezamaeneoganiilikuhakikishawakati
wotewanakuwasalama.
Aidha,Wizarainaikumbushajamiinawazaziwotekwaujumlakuzingatiajukumula
kuimarishaulinzinausalamawawatotondaniyamaeneoyao.SheriayaMtotokifungucha
95inamtakakilamwanajamiiambayeanaushahidiautaarifakwambahakizamtoto
zinakiukwaauzikohatarinikukiukwaatoetaarifamaramojakwavyombovyaulinzina
usalamakatikaeneohusikailikuzuiauwezekanowavitendoviovukutokea.HivyoWizara
inatoawitokwawanajamiiwotenakamatizaUlinzinaUsalamawaMtotokuhakikisha
wanachukuahatuaharakanakutoataarifakatikavituovyapolisi,OfisizaSerikalizaMitaana
Mamlakahusika.
WizarainatoaraikwauongoziwaHalmashaurizoteMikoanikuendeleakuanzishana
kuimarishaKamatizaUlinzinaUsalamawaWanawakenaWatoto.Wizarainaimanina
inalishukurukwadhatiJeshilaPolisimkoaniNjombekwajuhudiwanazofanyakuhakikisha
inawatianguvuniwatuhumiwawamauajihayanakuwachukuliahatuakalizakisheria.
Wizarainatoapolekwawazazi,walimunanduguwotewalioguswanamsibawawatotowetu
wapendwa,nakwapamojatunaombaMwenyeziMunguawapenguvunamoyowasubira
katikakipindihikikigumuchamaombolezo.
Imetolewana
ErastoChingoro
MkuuwaKitengochaMawasilianoSerikalini
IdaraKuuyaMaendeleoyaJamii
30/01/2019
WIZARAYA AFYA YATOA TAMKO KUHUSU MAUWAJI YA WATOTO (10) MKOANI NJOMBE:
Leave a comment