Serikali ya Jamhuri ya Afrika
ya Kati, CAR kwa ushirikiano na mradi wa Elimu haiwezi kusubiri, ECW, leo
wamezindua mradi wa miaka mitatu wenye lengo la kuboresha elimu nchini humo
kama njia mojawapo ya kunasua watoto wa kike na wa kiume kutoka athari za mzozo
ulioacha karibu watoto 500,000 bila ya shule.

Taarifa iliyotolewa leo na pande
mbili hizo kwenye mji mkuu wa CAR, Bangui, imesema mradi huo unalenga kufikia
watoto 900,000 ambapo nusu yao ni wasichana.

Elimu
ndio ufunguo wa kila kitu
ndio ufunguo wa kila kitu
“Elimu itajenga msingi wa amani,
usalama na maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi wa CAR,” amesema Aboubakar
Moukadas-Noure, Waziri wa Elimu wa taifa hilo ambalo tangu mwaka 2012 lilikuwa
limegubikwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Amesema kwa kuwapatia wasichana na
wavulama pahala salama pa kujifunzia, walimu wabobezi, vifaa vya kujifunzia,
mlo shuleni ana huduma za nasaha, mradi huo unafungua ukurasa mpya kwa
maendeleo ya Jamhuri ya Afrika ya Kati.

“Watoto wetu wanastahili kupata
elimu. Na iwapo tunaweza kutokomeza njaa, ghasia na ukimbizi wa ndani pamoja na
umaskini nchini mwetu, basi elimu haitaweza kusubiri,” amesema Waziri huyo wa
elimu.

Mradi
wa Elimu Haiwezi Kusubiri
wa Elimu Haiwezi Kusubiri
Mradi huo unajinufaisha na uwekezaji
wa awali wa dola milioni 6.5 kwa kipindi cha mwaka 2019/2020 kutoka mradi wa
Elimu haiwezi Kusubiri, ECW ambao ni mradi mpya wenye lengo la kunasua
waliokumbwa na janga la elimu.

ECW imeahidi kutoa nyongeza ya
dola milioni 6.5 kila mwaka kwa kipindi cha mwaka wa pili na wa tatu wa mradi
huo kwa kuzingatia mafanikio ya miaka miwili ya 2019/2020.

Mshauri mwandamizi wa ECW, Graham
Lang akizungumzia hatua hiyo ya leo amesema “jamii ya kimataifa inapaswa
kuongeza jitihada zake kuchukua hatua kwa ajili ya sekta ya elimu CAR.
Changamoto zinazokabili watoto nchini hukmo za kupata elimu bora ni kubwa. Hata
hivyo mnepo wa watoto hawa ni mkubwa kuliko.”

Amesisitiza kuwa elimu ndio ufunguo
ambao utaweza kuwainua na kuwawezesha kufikia ustawi wao wa juu zaidi na wawe
waleta mabadiliko, akisema, “bila elimu, hakutakuwepo na kujikwamua endelevu,
maridhiano na amani.”

Mambo
ya msingi ya mradi huo wa ECW
ya msingi ya mradi huo wa ECW
- Kutakuwepo madarasa ya mpito, vyumba zaidi ya
1000 vya madarasa vitajengwa na vikasha zaidi ya 320,000 vyenye vifaa vya
shule vitagaiwa. - Lengo ni kufikia watoto 320,000 wasio shuleni ili
wawepo kwenye mazingira salama ya shule ili hatimaye asilimia 90 ya
wanafunzi nchini humo wawe kwenye mfumo rasmi wa shule. - Nchini CAR mtoto mmoja wa kike kati ya wanne ndiye
anayefahamu kusoma na kuandika ambapo mradi huu mpya unalengo la
kuongeza kwa asilimia 5 idadi ya watoto wa kike walio katika mfumo rasmi
au usio rasmi wa elimu. - Halikadhalika mradi utasaidia wasichana na
wavulana 90,000 kupata nyaraka rasmi. Taarifa hii nikwa mjibu wa
Idhaa ya Kiswahili ya radio ya umoja wa Mataifa tembelea https://news.un.org/sw
.