Idhaa ya Kiswahili ya
Radio ya umoja wa Mataifa (UN RADIO)
Ilichapisha taarifa za Takwimu mpya zilizotolewa na watafiti kutoka mashirika
ya Umoja wa Mataifa na Chuo cha tiba za kitropiki na afya cha London, Uingereza
zimeonyesha kuwa mwaka 2015 zaidi ya watoto milioni 20 walizaliwa duniani kote
wakiwa na uzito wa chini kupindukia, ambao ni chini ya kilo mbili na nusu au
pauni 5.5

Kiwango hicho ni mtoto 1 kati ya
watoto 7 ambapo takribani asilimia 75 ya watoto hao walizaliwa katika nchi za
Asia ya Kusini na zile za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara.

Tatizo
ni kubwa kwa nchi zilizoendelea pia
ni kubwa kwa nchi zilizoendelea pia
Hata hivyo watafiti hao
wanaojumuisha wale wa shirika la afya duniani, WHO, shirika la kuhudumia watoto
UNICEF na Chuo hicho Kikuu cha London, wamesema bado tatizo la watoto kuzaliwa
na uzito mdogo ni la juu kwenye nchi za kipato cha juu barani Ulaya,
Amerika Kaskazini, Australia na New Zealand.

Wamesema katika maeneo hayo hakuna
hatua madhubuti zimechukuliwa tangu mwaka 2000 kupunguza tatizo la watoto
kuzaliwa na uzito mdogo, wakizingatia utafiti wao uliohusisha mataifa 148 na
vizazi hai milioni 281, utafiti ambao umechapishwa katika jarida la
masuala ya afya la Lancet.

Hatua hizo hazijachukuliwa, ingawa
kwamba mwaka 2012, mataifa yote 195 wanachama wa WHO waliazimia kupunguza kwa
asilimia 30 idadi ya watoto wanaozaliwa na uzito mdogo ifikapo mwaka 2025
wakilinganisha na viwango vya mwaka 2012.