Halmashauri
ya wilaya ya KALIUA mkoani TABORA imezindua mfuko wa elimu kama njia ya
kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

Uzinduzi
huo wa mfuko wa elimu umefanyika kwenye kikao cha baraza la madiwani la
halmashauri ya wilaya ambapo mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya
KALIUA,

Daktari JOHN PIMA amesema lengo la kuanzisha mfuko wa elimu ni
kuhakikisha wilaya inaendelea kufanya vizuri kielimu.

Daktari
PIMA amesema halmashauri itatoa motisha kwa waalimu na wanafunzi watakaofanya
vizuri kwenye mitihani yao.

Aidha jumla ya milioni kumi na mbili zimepatikana kwenye uzinduzi huo huku
akitoa rai kwa wananchi kuwa na mwito wa kuunga mkono mfuko ulioanzishwa.

Kwa
upande wake mwenyekiti wa bodi ya kusimamia mfuko huo mchungaji AMOS CHIDEMI wa
kanisa la Angilikana amesisitiza kuwepo kwa ushirikiano baina ya viongozi.

Na
baadhi ya wanafunzi wamesema kuanzishwa kwa mfuko huo utakuwa chachu ya wao
kusoma kwa bidii na kuendelea kufanya vizuri zaidi katika masomo yao. Imeandaliwa na mwandishi wentu Simon Jumanne kutoka Kaliua Tabora.