Afisa Muuguzi Katika Hospital ya wilaya ya Kahama
Mkoani Shinyanga kitengo cha Uzazi Salama na Mtoto Bi,Joseline Jacob amesema
jamii inatakiwa kujua umuhimu wa kunyonyesha watoto kwa kipindi cha miezi sita
ya mwanzo bila kumpa kitu chochote kwani maziwa ya mama yana lishe tosha kwa
mtoto na yanamkinga dhidi ya magonjwa mbalimbali.

Bi,Jacob ameiambia TKT RADIO kwamba Mtoto akinyonya maziwa ya mama pekee yana
umuhimu katika ukuaji wake wakilasiku na uimalishaji wa serizake za mwili,Aidha Mama anapokuwa ananyonyesha mtoto mara kwa mara inamsaidia mama huyo
kutopata Ujauzito Mapema huku akitaja hasara zinazopatikana pindi Mtoto
anaposhindwa kunyonya maziwa ya kutosha kutoka kwa Mama yake.

Kwa upande wao
Akina Mama wanaonyonyesha Bi,Ester Edward na Halima Magodoro wamesema zipo faida
nyingi kwani inaongeza upendo kati ya Mtoto na Mama, Vile vile hataweza kuugua mara kwa mara.Na Joseph Sepetu, Kahama Shinyanga.

The easygoing equestrian rigging could be riding breeches coordinated with a plain shirt. dailytramadol.com website