LUDEWA NJOMBE: Picha ni kwamsaada wa Morondiokwetu blog.
Kutokana na Matukio mbalimbali ya ukatiri kwa
watoto hapa nchini Serikali kupitia
idara ya ustawi wa jamii wilayani Ludewa Mkoani
Njombe imetakiwa kutoa Elimu ya ukatiri kwa jamii ili jamii iweze kuachana na vitendo vya ukatiri kwa Watoto.

RAHI hiyo imetolewa na Imamu wa Msikiti Mkuu wa
Wilaya ya Ludewa Imamu Haruna Rahimu
alipokuwa anazungumzia suala la ukatiri kwa
watoto ambapo amesema jukumu la kumlinda Mtoto linaanza katika ngazi ya familia,Jamii na serikali.

AMESEMA mara nyingi ukatiri unaotokea katika
jamii unatokana na jamii kutopata elimu
yakutosha yakujua ni kwanini wanafanya
ukatiri kwa watoto kwani ukatiri umegawanyika katika makundi.

AMESEMA” suala la ukatiri kwa watoto
linategemeana,kwani mtoto anaweza
kufanyiwa ukatiri kutoka kwa jamii au wazazi na walezi ambao mtoto amekuwa anaishi nao” amesema
Rahimu

NAO baadhi ya
wanafunzi wa shule za sekondari Wilayani Ludewa wameishauli Jamii kuachana na vitendo vya
ukatiri sambamba na kuiasa serikali kutoa
adhabu kari kwa mtu yoyote atakaye sadikika
amemfanyia ukatiri mtoto.

Hatahivyo kinachotakiwa kwa jamii ni
kubadilika kutokana na mfumo wa maisha
ya sasa,kwani mtoto ndiye taifa la kesho kwaiyo
akifanyiwa ukatiri si jambo zuri kwaiyo serikali inatakiwa kuingilia kati na jamii inatakiwa
kujitambua.

Chiwango amesema wamepokea kesi nyingi za
ukatiri kwa watoto,kesi hizo ni zawatoto
kutelekezwa ukiachilia mbali kesi za watoto
kuuliwa sio nyingi sana katika Wilaya ya Ludewa

Na, Salum Mohamed
Asante kwa taarifa hiyo ,nafikiri jamii nzima tunawajibika katika hili ili kupunguza kama siyo kutokomeza kabiza ukatili kwa WATOTO.