Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania
kimetoa riporti yake inayo husu matukio mbalimbali yakiwemo ya ukatiri dhidi ya
watoto nchini , Ambapo Mkurungenzi wakituo hicho Bi, Anna Henga amesema Hofu
imezidi kuongezeka kwa watuwenye ulemavu wa ngozi wenye Ualbino hasa wakati huu
nchi inapoelekea kwenye chaguzi kuu mbili mwaka huu na mwaka kesho 2020 hali
inaweza kuwa mbaya kwenye kundihili, Aidha historia inaonyesha kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wamekuwa
wakifanyiwa ukatiri .

Hata hivyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo jijini Dar es Saalam Bi, Henga
amesema hali inazidi kuwa mbaya kuhusu ukatiri wa kingono na akitaja kanda ya kwanza hadi ya mwisho, kanda ya Ziwa
ikishika nafasi ya kwanza kwa Asilimia 38 Kanda ya Nyanda za juu
kusini Asilimia 32 Na kanda ya Pwani ikiwa
ni Asilimia 9 nakanda ya
kasikazini ikishika Asilimia 9 Kanda
ya kati yenyewe ikitajwa kua na Asilimia
7,Mwisho ikiwa ni Kanda ya magaribi
kwa Asilia 5 Na asilimia sitini na sita (66) niukatiri wakingono dhidi ya watoto
huku ukatiri wa kimwili ukitajwa kushika
na fasi ya pili kwa asilimia thelathini
na nne (34) taarifa hii ikiwa nikipindi cha kuanzia mwezi
wa kwanza hadi mwezi wa sita mwaka huu.