Wazazi
na walezi katika tarafa ya IGAGALA wilaya ya KALIUA mkoani TABORA wametakiwa
kuacha tabia ya kuwaambia watoto wakaandike majibu ya uongo kwenye mitihani ili
wasifaulu.

Rai
hiyo imetolewa na afisa tarafa wa IGAGALA, SIMON MALANDO kwenye mahafari ya 38 katika
shule ya msingi KAMSEKWA ambapo amesema wapo baadhi ya wazazi wamekuwa wakitoa ushawishi
kwa wahitimu kuandika majibu ya uongo huku akiongeza kwa kusema serikali
itachukua hatua kwa watakaobainika.

SALUM
YUSUF ni mkazi wa kata ya KAMSEKWA ameiomba serikali kuchukua hatua kwa wazazi
na wanafunzi wanaobainika kuandika majibu ya uongo kwenye mitihani.

Jumla
ya wanafunzi 70 wanataraji kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba katika
shule ya msingi KAMSEKWA kati yao wasichana ni 33. NA Simon Jumanne KUTOKA KALIUA.