Wananchi
wanachama wa jumuiya ya ISAWIMA katika wilaya ya KALIUA mkoani TABORA
wametakiwa kuacha kuvamia hifadhi hiyo badala yake waitunze kwani ni kichocheo
cha maendeleo.

Akizungumza
na wananchi wa kijiji cha SHELLA kata ya USENYE kabla ya kukabidhi bandari tatu
za bati zenye thamani ya milioni moja na elfu hamsini zilizotolewa na jumuiya
ya ISAWIMA ili kuunga mkono ujenzi wa darasa katika shule ya msingi SHELLA mkuu
wa wilaya ya KALIUA, ABELI BUSALAMA amewataka wananchi kuacha kuvamia hifadhi
hiyo kwani ni mdau wa shughuli za maendeleo.

Awali
katibu wa jumuiya ya ISAWIMA, HAMIS SELEMANI amesema ISAWIMA ni mali ya
wananchi wanachama kwani mapato yatokanayo na hifadhi hiyo yanalenga kuunga
mkono ujenzi wa miundombinu mbali mbali ya kimaendeleo.

Kwa
upande wao mkuu wa shule ya msingi SHELLA, ENOCK NTAHOLIJA na afisa elimu kata
ya USENYE, DOTTO MDIHU wameishukuru jumuiya ya ISAWIMA kwa kutoa mabati kwa
ajili ya ujenzi wa miundombinu shuleni hapo, Wazazi na wanafunzi nao wameeleza furaha zao
kuhusu upatikanaji wa jingo hilo kwani litawasaidia watoto wao.

Nae Mwenyekiti wa jumuiya ya ISAWIMA,
JAYLANI ADAMU amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuacha kubeza hifadhi hiyo nakuongeza
kwa kusema ni vyema wakatoa elimu kwa wananchi kukemea uvamizi ndani ya hifadhi.
Kutoka Wilaya Ya KALIUA, Na Mwandishi wetu
Simon Jumanne.