Wanafunzi katika shule ya msingi Kagera
Kata ya Ikunguigazi Mkoani Geita Wamepata changamoto kuhusu Sare za shule kwao jambo linaloshusha ufanisi
wa kitaaluma pindi wanapokuwa darasani.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo Nd. Mahebe Chigulu
amesema Watoto ambao hawana sare za shule hususani viatu wanakuwa katika hatari
kubwa ya kuambukizwa magonjwa wanapoenda msalani pasipo kuvaa viatu.

Hata hivyo amefafanua kuhusu kisaikolojia watoto ambao hawana Sare timilifu
wanaathirika, kwani kunabaadhi ya wanafunzi wanatabia ya kunyanya paa wenzao.

Kwa
baadhi ya wazazi wamesema hali ngumu ya
maisha,migongano katika familia pamoja na matumizi mabaya ya pesa kwa baadhi ya
wazazi vimekuwa ni sababu kuu za wao kushindwa kuwanunulia sare za shule watoto
wao.

Afisa
mtendaji wa kijiji cha Kagera amesema watahakikisha wanawakamata wazazi ambao
wanashindwa kuwatimizia mahitaji ya msingi ya watoto wao ikiwemo sare za shule
na ameitaka jamii kushiriki kwa pamoja katika kuwanunulia sare za shule.

NA NICKORAUS PAUL LYANKANKANDO GEITA.