Walimu wa kitengo cha Watoto wenyemahitajimaalumu, kilichopo katika shule ya msingi Mlowo mkoani Songwe waiombaserikali, wadau
na Mashirika mbalimbali kusaidiakituohicho kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili
kituonihapo.

Akizungumza na Tkt
Radio Mkoani humo Mkuuwakitengo hicho Mwalimu Judith Mkonongo amesema kituo hicho
kinachangamoto nyingi hususani Madarasa na Vyoo sirafiki kwa Watoto walio na mahitaji kama waliopo
kituoni hapo.

Hata hivyo
Bi, Mkonongo amewaomba wasamalia wema kufika shuleni hapo wawatembelee Watoto hao ilikuawatia moyo, mbali na hivyo watakapo fika hapo shuleni
wanaweza kuchangia ujenzi wa madarasa ambayo nirafiki kwao pamoja na vyoo.

Aidha Mwl.Kenedy Msokile yeye nimwalimu
wa wa taaluma katika shule hiyo amesema
changamoto wanazo kumbana nazo kwenye majukumu yao niukosefu wa vitendea kazi
kama vile vifaa vya kupimia ilikubaini kiwango cha usikivu kwa Watoto wenye ulemavu wa masikio, Nukta
Nundu kwa Watoto waio ona.

Na
Mr.Hamidu kutoka Songwe.
Mr.Hamidu kutoka Songwe.