Vitendovya Ukatili wakingono
na Ulawiti vimeshamiri katika maeneo mbalimbali katika Shule za Msingi, Wilaya
ya Kahama Mkoani Shinyanga hasa muda wamapumziko.
na Ulawiti vimeshamiri katika maeneo mbalimbali katika Shule za Msingi, Wilaya
ya Kahama Mkoani Shinyanga hasa muda wamapumziko.
HayoyameelezwanaMsaidizi wa Dawati la JinsiaWilayani
humo Jane Erasi wakati akizungumza ofisini kwake.
humo Jane Erasi wakati akizungumza ofisini kwake.
Ambapo amesema wazazinawalezi wawanafunzi
kwakushirikiana najamii wametakiwakutovifumbia macho vitendohivyo nabadalayake watoetaarifa
kwenyemamlaka husika, pindiwanapobaini kuwepokwavitendohivyo hatuaambayoinalenga
kuwanusuruwanafunzi kuendeleakufanyiwaukatilihuo.
Katikahatuanyingine Bi,Erasi
amesema kunakikundi cha watoto ambao hawaendishuleni nawamekuwawakiwaviziawanafunzi
hasawanaoishi maeneoyambalinashule kishakuwafanyia ukatili.
amesema kunakikundi cha watoto ambao hawaendishuleni nawamekuwawakiwaviziawanafunzi
hasawanaoishi maeneoyambalinashule kishakuwafanyia ukatili.
Hatahivyo amewaonya
wanafunzi kujiepushanatamaa yavituvidogovidogo ambavyovinapelekea kujihusishanamapenzi
katika umrimdogo , nahatimae kukatishamalengoyao yabaadae hukuakiwa asawazazi na walezi kuachatabia ya kuwafanyishabiashara
watotowao hasanyakati Za Usiku.