Kilio cha
wananchi wa Kijiji cha Magenge Wilaya ya
Geita Vijijini, waendelea kuiomba serikali kuwaletea Wahudumu wa Afya kwenye
zahanati ya kata yao maana wanatembea zaidi ya msaa (5) kutoka kijijini kwao kwenda Katan
nyingine.

Wakizungumza
na Tkt Radio Baadhi ya Wanawake Keflay
Samweli nawengine kwasharti lakutotajwa majina yao Kijijini hapo, wamesema adha wanazo kumbana nazo nikubwa hususani
wakati muda unapofika wa mama kuhudhuria kiliniki ya ujauzito, Kupeleka Watoto kupata chanjo,Matibabu na
Ushauri inakuwavigumu maana wanatembea zaidi ya kilometer 5 kufuata huduma hiyo
katika Kata nyingine ambako huduma ya Mama na Mtoto hutolewa.

Hatahivyo Ndg.
Nikodem Paul amesema Zahanati hiyo imeanza kujengwa tangu mwaka 1994 na
imekamilika mwishoni mwa mwaka uliopita
wa serikali,lakini wahudumu hawajaletwa kwaajili ya kuwahudumia wananchi,
Jambo linalosababisha Mama wajawazito kujifungulia vichakani kutokana na
kutembea muda mrefu kufuata huduma ya Zahanati. Kwa upande wa uongozi wa
serikali kwa ngazi ya Mwenyekiti wa Kijiji Ndg.Tano Manamba amewaomba wananchi kuendelea kuvumilia maana serikali
inakumbuka jambo la Zahanati hiyo.