Mtoto mwenye
umri wa miaka kumi na mbili (12) jina
lake limehifadhiwa , anaeishi na Baba yake mzazi katika mji mdogo wa Ifakara
uliopo Mkoani Morogoro, tangu kuzaliwa kwake amekuwa na Uvimbe kwenye kichwa
chake ulio sababisha kichwa kujaa maji eneo lote lakisogo kichwani kwake,
natatizo hilo liligundulika miaka mitatu badae (3) baada ya kinyozi wa saluni kupitisha mashine yake na kugundua
sehemu ya kichogo cha Mtoto huyo sio kigumu kama wengine isipokuwa ninywere na
ngozi ndivyo vilivyo ziba na kuziba aendelee kuwa hai mpaka sasa.

TKT Radio ilifanikiwa kukutana na familia , Baba
yake ambae ni Sabas Mapande Yeye ni
mkulima anahangaika kutafuta pesa kwa
shughuli zake za kilimo ilimradi tu, Mtoto apate matibabu hospitali ya Taifa
Muhimbili, ambako anatibiwa tangu ugonjwa huo ulipobainika, na baada ya
kubainika ungonjwa huo mwaka mmoja baadae Mama
mzazi wa Mtoto huyo akaachana na Baba mzazi wa mtoto na kwenda kuolewa
na mwana ume mwingine hadi sasa.

Aidha Inatakiwa laki tisa (Tsh,900,000/=)
kila baada ya miezi mitatu,hii nikwaajili ya Matibabu,Chakula,Usafiri na
kulipia chumba chakulala kwasiku zote wazokuwa wameambiwa na Daktari kusubiri wakiwa Jijini
Dar es Salaam,Ndg. Mapande amelejea
kwa watanzania ilikuona mwenye uwezekano wakumsaidia kumnunulia Mashine ya
kumwagiria kwaajili ya bustani ambao ndio utakuwa mtaji mkubwa kwake , ilianze
kilimo hicho kwani shamba analo lililoko bondeni na lina maji yakutosha shabaa
yake ikiwa kusitisha kuomba omba pesa kwa watu ilikumtibia mwanae.

Hata hivyo Mapande amesema
kufikia mwezi December
inatakiwa zaidi ya Mlioni moja na
nusu (1500,000/=) kwaajiri ya kununua kipande cha Fuvu la badia ilikumuekea
eneo lote la kisogo ambalo liko wazi, Na TKT Radio ili mtafuta Daktari wa magonjwa
ya Ubongo ilikufahamu Sababu zinazo
sababisha kutokea kwa Ugonjwa huo kwa
Watoto wadogo, ilishindikana kutokana na kuwa na Ratiba ngumu ya kikazi tutakapo mpata tuta chapisha majibu yake hapa.

Tafadhali
wasiliana na Baba wa Mtoto huyo ambae ni Sabas
Mapande

Sabas
Mapande +255684585251.
Mapande +255684585251.