Mwalimu Mkuu washule shule ya msingi Ikunguigazi
iliopo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita ndg.Christopher Mwita Mungasi,Ame
walalamikia Wazazi kutokuwa na tabia ya kwenda shuleni Mara kwa Mara ilikufuatilia maendeleo ya watoto
wao jambo linalinalo sababisha utoro sugu kwa baadhi ya wanafunzi washule hiyo.
Aidha Mungasi
Ameendelea kusema kuwa utoro katikashule yake umechangiwa kwa kiasi kikubwa kutokana
nawazazi hao kuto baini umuhimu wa elimu
na wengine bado wana amini mtoto wakike elimukwake sikituchakutilia maanani wakati
imani hizo zimekuwa zikipigwa marufuku na serikali kwa kushirikiana na
mashirika yasio kua yakiserikali hapa nchini.Ambapo umoja wa Mataifa ukiwataka
nchi wanachama kutimiza malengo ya maendeleo ya kudumu ya umoja wa Mataifa
hususani lengo namba nne(4) linalo sisitiza Elimu bora kwa kila mtu yaani SDGs.

Hata hivyo kwaupande
wa wanafunzi Ester Alex na Eliasi Petro
katikashule hiyo wamekiri kuwa baadhi ya wazaziwao hawashirikiani na waalimukufatilia
maendeleoyao,mbalinakuwakagua na kuwa uliza ulikwenda shule basi,ingawa
nijukumu la mwanafunzi kuhudhulia masomo kila siku za shule wengine wanatakiwa
kusimamiwa na kufuatiliwa ndio wanaweza kufanya vizuri katika masomo yao.

Huku baadhi ya
wazazi Michael Matiasi na Angelina Silvan walio na watoto katika shule
hiyo wakashauri wazazi wenzao kuongeza bidii a kufika kwenye mikutano ya shule
ambayo huandaliwa na uongozi wa shule ilikuzungumzia maendeleo ya watoto wao na
maendeleo ya shule kwa ujumla, kwahatua nyingine wamesema kwasasa dunia
inamlazimisha kila mtu kutumia mabadiliko ya tekinolojia za kisasa hivyo mtoto
kama hatajua kusoma hataweza kutumia mabadiliko hayo afikapo utu uzima.

Na
nickoraus Paul lyankando Mbogwe Geita.
nickoraus Paul lyankando Mbogwe Geita.