Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Shani Chamwela (35), mkazi wa Magoeko
wilayani Gairo, anakabiriwa na kesi ya kumrubuni na kumbaka mtoto wa
kiume ambaye niwajirani yake tangu akiwa na umri wa miaka tisa hadi mwaka huu
ikiwa anaumri wa miaka kumi na miwili.

Kesi hiyo No.65/ ya mwaka 2019 ilifunguliwa tarehe 13/01/2019 katika
wilaya ya Gairo na baadae ilihamishiwa Wilaya ya Kilosa, kutokana na
uzito wa kesi hiyo illiamriwa isikilizwe katika Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa
wa Morogoro ikiwa tarehe 18 Machi mwaka huu, ilisikilizwa kwa Mara ya
Kwanza katika mahakama hiyo na Hakimu Mkuu wa Mahakama hiyo Bi. Elizabeth
Nyembele.

Aidha mshtakiwa huyo Shani Chamwela alikana kumfanyia
ukatili huo kupitia kwa wakili wake John
Kidandu ambaye anasimamia kesi hiyo, na kueleza kwamba familia ya mtoto
huyo inamsingizia, hivyo ameiomba mahakama kuletwa kwa ushahidi wa picha au
video inayoonesha mteja wake akifanya kitendo hicho.

Alipohojiwa mtoto huyo na
mahakama alisema amechoshwa na kitendo hicho cha mama huyo kwani ni miaka
minne Sasa tangu anze kumlazimisha kufanya kitendo hicho, pia amekuwa
akimtishia kumuua endapo angesema kwa watu Jambo hilo.

Hadi Sasa kesi hiyo imefikisha miezi
kumi tangu kufunguliwa huku Mama na Bibi wa mtoto huyo waliiomba Mahakama
kutoipaleka kutoisogeza mbali katika tarehe inayotajwa kwani inaathiri
masomo ya mtoto huyo ambaye sasa anasoma darasa la sita Kila wanapohudhuria
Mahakamani.

Kesi hiyo No.65 inasimamiwa na mawakili wawili kwa upande wa serikali Edger Bantulaki na Theodora Mlelwa baada ya kusikilizwa mashahidi wawili wa upande wa
mlalamikaji imeahirishwa Hadi tarehe 08 Novemba mwaka huu itakaposikilizwa
tena.