Ufumbuzi
wa patikana kwa Mama wajawazito katika wilaya ya KALIUA mkoani TABORA baada ya
chumba cha upasuaji kuanza kutoa huduma.

Rai
hiyo imetolewa na kaimu mganga mkuu wa wilaya ya KALIUA, Daktari CHARLES CONRAD
kwa kusema kukamilika kwa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya KALIUA
kumesaidia kupunguza vifo vya mama au mtoto nakuongeza kwa kusema tangu kwa
huduma ya upasuaji ianze kutolewa jumla ya kinamama 120 wamepata huduma ya
upasuaji huku akitoa mwito kwa kinamama kufika kupata huduma sasa.

ALIKUSHUBILA
RICHARD ni muuguzi mkuu katika kituo cha afya KALIUA ameiomba serikali kuongeza watumishi ili
kuendelea kutoa huduma iliyo bora. Hata hivyo mmoja wa kinamama TABU DAMALALA
amepongeza huduma inayotolewa katika kituo hicho cha afya hasa ya upasuaji.

Akizungumzia upungufu wa watumishi wa afya Mkurugenzi
mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya KALIUA, Daktari JOHN PIMA amesema serikali
imeleta watumishi watatu (3) wa idara ya afya huku akibainisha hatua ambazo
halmashauri inafanya ili kupunguza uhaba wa watumishi wa afya, Aidha ameongeza kua
serikali ya awamu ya tano ni sikivu hivyo anaimani itaendelea kutatua
changamoto ikiwemo kuongeza watumishi wa afya.

Na
Simon Jumanne Kaliua Tabora.
Simon Jumanne Kaliua Tabora.