Watoto wana mengi ya kusema endapo tu, utaweka
mazingira ya kuwasikiliza nini walicho nacho kwenye mawazo yao na malengo
yao, hayo yamebainika baada ya TKT/UN
Radio kutembelea shule ya msingi Kinole iliopo kijiji cha Kinole huko Morogoro
vijijini katika Mkoa wa Morogoro.

Aidha Aslatha Hmisi yeye ameeleza malengo
yake kwenye maisha anataka kuwa muhasibu , hivyo inampasa kusoma sana masomo ya
hisabati na masomo mengine ya sayansi, na Hamisa Twaa huyu ni dada mkuu wa
shule ya msingi Kinole anasoma darasa la sita b amebainisha kwamba hapendi
kuona watoto wenzake wana nyanyaswa hasa wanao fanya kazi za ndani.

Hata hivyo Mtoto Hamisa ndoto zake nikuwa
daktari wa kutibu binadamu ilikushirikiana na madaktari waliopo kwa sasa na
atakaowakuta kipindi hicho, kwa upande mwingine Chief Kingalu wakabila la waluguru mkoa wa Morogoro amewaomba
wananchi wake kuongeza staha na bidii kwenye kazi zao za kuwaingizia kipato
ilikumudu kuwasomesha watoto wao hadi elimu ya juu ikiwa ni moja ya njia bora
ya kutimiza ndoto za watoto wao.

Kwaupande wa wazazi Pendo Sanga na Sophia
Hassani wakazi wa kijiji cha Kinole wamesema kwabaadhi ya familia
zingine zina maisha magumu zaidi japo kazi za kuwaingizia kipato kwa waliowengi
nikilimo, inafika wkati wengine wanashindwa
kumsomesha mtoto kwa kiwango cha ellimu ya juu hata vyuo vya ufundi kwa ukosefu
wa pesa za kutosha.Hivyo nibora mashirika kwa kushirikiana na serikali
kulepeleka elimu ya kilimo biashara ilikuondokana na kilimo mazoea vijijini
jambo hilo litaongeza kipato kwa familia nyingi nakuendelea kutimiza ndoto
walizo nazo watoto wao.