WIZARA YA AFYA. |
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amewataka wadau mkoani Mwanza
kushirikiana na serikali kutokomeza kabisa tatizo la watoto takribani
1,254 wanaoishi na kufanya kazi mitaani jijini humo kwa kutumia mifumo
na rasilimali zilizopo kumaliza kabisa tatizo hilo.

huyo wa Mkoa pia amesema lengo la kutaka kupunguza tatizo hilo sio la
kuwaonea bali pia ni kuwasaidia watoto hao kuondoka na madhara na
madhira wayapatayo watoto hao ili waweze kurudi katika familia zao na
kuondokana na maisha ya mashaka yanayowakabili.

‘’Unakuta
mtoto anakuja mtaani na kupewa msaada unaotosha kwa wiki moja kwa
msingi huu mtu huyu anazoea na kujenga tabia ya kutochukia maisha ya
namna hii hivyo misaada hii inajenga usugu kwa baadhi ya watu hawa
kutoona sababu ya kuachana na tabia ya kurudi au kendelea kuishi mitaani
hivyo razima suala misaada liangaliwe upya.’’Alisisitiza Bw. Mongella.

Aidha
kiongozi huyo wa Mkoa wa Mwanza ameongeza kuwa mkoa wa mwanza unaweza
kutokomeza vitendo hivi kwa kuwa unayo mifumo mizuri ya ufuatiliaji
kuanzia ngazi ya kijiji hadi mkoa na kuwataka wadau mkoani humo kwa
kushirikiana na serikali kuhakikisha watoto hawa wanarudi katika
familia zao na kuwafuatilia kupitia ngazi ya kijiji hadi mkoa.

Wakati
huo huo katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Dkt.
John Jingu amesema Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 iko wazi kwani
inawataka watoto kuishi na kulelewa katika familia hivyo suala hili
linaweza kutokomezwa kwa mjibu wa sheria hiyo.

Dkt. Jingu ameongeza kuwa watoto hawa lazima warudishwe katika familia
zao na uchambuzi ufanyike ili kubaini wale wote ambao hawataweza kurudi
katika familia zao basi wapelekwe katika makao ya serikali ya wattoto
ili waweze kupatiwa huduma bora ikiwemo chakula na maradhi.

Dkt.
Jingu amewataka watoto hao kutambua kuwa wao ni azina ya Taifa hivyo
wanatakiwa kuishi katika malezi bora na kuonya kuwa baadhi ya walezi kwa
sasa ni waharifu na hivyo kuwafundisha watoto hao uharifu na kujiona
wao sio sehemu ya jamii wanamoishi.

Naye
Kamishna wa Ustawi wa Jamii hapa Nchini Dkt. Naftali Ngondi wakati
akimkaribisha katibu Mkuu katika kikao kazi hicho amsema lengo la kikao
kazi hicho ni kuja na mpango mkakati utakaowezesha kufuatilia
utekelezaji wa kutokomeza swala la watoto wanaoishi na kufanya kazi
mitaani kuisha kabisa kwa kuanzia na mkoa wa mwanza.

Dkt. Ngondi ameongeza kuwa idadi ya watoto wanaoishi na kufanya kazi
mitaani nchini ni takribani elfu sita na kati ya hao asilimia tisini
tayari wazazi na walezi wao wanatambulika hivyo kazi iliyopo ni kutafuta
namna bora ya kuwaunganisha watoto hao na familia zao.

Wadau
wa mashirika pamoja na wataalam wa ustawi wa jamii wanakutana jijini
mwanza ili kukubaliana na kuja na mpango mkakati utakaowezesha
utekelezji kwa vitendo namnan bora ya kuondokana na tatizo la watoto
wanaoishi na kufanya kazi mitaani.

Hii kwa hakika ni hatua nzuri sana. Hongera Mkuu wa mkoa kwa kuliona na kutaka au kuwa na shauku ya kulishughulikia. Niwaombe wadau mbali mbali wa watoto wafanye pia uchunguzi wa kina wa nini kinacho wakimbiza hao watoto kutoka katika familiya zao ili waweze kulitibu tatizo hilo.
Hongera pia kwako John kabambala kwa kutujuza taarifa hiyo sisi wadau na wasio wadau wa watoto
Asante sana mdau wangu na ninashukusana kwa kuniandikia ujumbe huu, na hii inaonyesha kwamba unafuatilia taarifa zetu kila tunapo chapisha.
Zaidi sana na washukuru ninyi wasomaji wangu na watembeleaji wa tovuti yetu, endelea kutembelea ilikupata taarifa mbalimbali zinazo wahusu watoto.
Zaidisana niwashukuru ninyi wote wasomaji wetu pitia tovuti hii kusoma taarifa zinazo wahusu watoto, naomba tushirikiane kuileta pamoja jamii yetu.