Siku ya Mtoto Duniani wahusika watoa maoni mbalimbali.
Mkataba wa wa kimataifa wa Haki za Mtoto ulipitishwa
tangu Novermber 20,1989 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York
, Ambapo Tanzania ni mwanachama wa mkataba huo na leo ikiwa ni November 20,2019
umetimiza miaka 30 tangu kupitishwa kwa nchi wa nachama.

Shirika la
kuhudumia Watoto duniani nchini Tanzania UNICEF kwa kushirikiana na Wizara ya
Afya Maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto wameadhimisha siku hii katika ukumbi
wa mikutano ya kimataifa wa Julius Nyerere uliopo Mjini
Dar es salaam.

Aidha Tanzania
kama ilivyo Nchi nyingine Wanachama ilitia saini mkataba huu tarehe 1 Juni, 1990 na kuuridhia tarehe 10 Juni, 1991
ambapo siku hii imetengwa mahususi kuikumbusha Dunia kuwa, watoto wana haki ambazo hazistahili kupuuzwa. Hata hivyo kuna idadi
kubwa ya watoto Duniani
wanaokabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo ukiukwaji mkubwa wa haki za Mtoto na ukatili wa aina mbalimbali
kama vipigo, kubakwa, mimba na ndoa za utotoni, ukeketaji, ulawiti, vitisho,
umasikini unaowanyima mahitaji ya msingi, utumikishwaji, kuhusishwa na vita
vinavyopelekea ulemavu na hata kupoteza maisha. Hivyo, lengo la kuadhimisha
siku hii ni kuelimishana na kuikumbusha jamii nzima ya watanzania hasa wazazi
na walezi wajibu wao katika kuhakikisha watoto wanapata haki zao za msingi.

Hata hivyo mkoani
Morogoro TKT Radio imezungumza na Watoto kutoka shule mbali mbali wametoa maoni
yao kuhusu mkataba wa Haki za Mtoto ambapo John Moris yeye amesema Mkataba huu
unawasaidia Watoto kuwalinda katika ukatili wanao fanyiwa, huku Jackson Teobadi
yeye amewaasa wazazi wakambo kuwatunza watoto wa wawa mama wengine bila kuwatesa kwani hao
pia wanahaki ya kuishi kama watoto wake.