By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: Mtoto alie bakwa noveber 9 mwaka huu aiomba serikali kumrinda kutokana na mke wa mtuhumiwa wa Ubakaji kutoa maneno ya vitisho kwa mtoto huyo,Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > Mtoto alie bakwa noveber 9 mwaka huu aiomba serikali kumrinda kutokana na mke wa mtuhumiwa wa Ubakaji kutoa maneno ya vitisho kwa mtoto huyo,Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Uncategorized

Mtoto alie bakwa noveber 9 mwaka huu aiomba serikali kumrinda kutokana na mke wa mtuhumiwa wa Ubakaji kutoa maneno ya vitisho kwa mtoto huyo,Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 2 Min Read
Share
SHARE

    
 Siku chache zimepita baada ya mtu mmoja alie
julikana kwa jina la Benjamin Samweli
mwenye umri wa miaka hamsini mkazi wa kijiji cha mwingilo Wilaya ya mbogwe
kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi na moja na  mpaka sasa anataftwa,ambapo mke wa mtuhumiwa
huyo ameanza kumtolea maneno ya vitisho mtoto huyo kuhusu tukio lililo fanywa
na mmewake.
  
  Mtoto huyo mwenye
umri wa miaka 11 anayesoma darasa la tatu katika shule  ya msingi Mwingilo alibakwa mnamo tarehe 9
novemba na mtuhumiwa huyo kutokomea kusiko julikana mpaka sasa, mtoto huyo
ameiomba serikali imulinde kutokana na maneno ya vitisho vya mke wa pili wa mtuhumiwa
huyo,Hatahivyo ameimba serikali ulinzi kwa maisha yake kutokana na vitisho
anavyo vipata kutoka kwa miongoni mwa wake wa mtuhumiwa huyo.
  Kwa upande
wao wazazi wa mtoto huyo wamesema baada ya kupata taarifa za mtoto wao kupewa
vitisho na mke wa mtuhumiwa waliamua kutoa taarifa mapema kwenye ofisi ya sungu
sungu ili mtoto wao awe salama,hata jambo lolote likitokea uongozi wa serikali
uweunataarifa ya vitisho hivyo.
 Mke wa
mtuhumiwa huyo ambaye ni mke Wa pili ameanza kumtolea maneno ya vitisho mtoto
pindi anapokutana naye kijijini hapo, mama huyo anaamini kwamba Mtoto huyo alikuwa mke wa tatu wa mume
wake,hivyo kutokana na umri wa mtoto huyo haulingani kuwa mke mwenza.
Aidha mtemi wa sungu sungu katika kijiji hicho ndg John Lusuga amesema alipata malalamiko
hayo kutoka kwa wazazi wa mtoto huyo nakuwaahidi kuendelea kumlinda Mtoto
huyo,kwani walipo pata taarifa kutoka kwa wazazi wa Mtoto huyo walimuita mke wa
mtuhumiwa na kumuonya kuhusu kuendelea kutoa maneno ya vitisho kwa Mtoto huyo.
                                 
                            Na Nichoraus Lyankando Mbogwe Geita.  

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time November 21, 2019
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article Shirika lisilo la kiserika la The Same Qualities Foundation limerejesha furaha kwa zaidi ya Watoto 500 wenye ulemavu wa Midomo Sungura kwa kuwafanyia upasuaji midomo yao hapa nchini bure,kwamjibu wa taarifa ilio tolewa leo na mkurungenzi wa shirika hilo Dr.Peter Mabula jijini Arusha.
Next Article Takwimu ya wizara ya afya kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini,kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia inayo adhimishwa November 25 ya kila mwaka.
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?