By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: Takwimu ya wizara ya afya kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini,kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia inayo adhimishwa November 25 ya kila mwaka.
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > Takwimu ya wizara ya afya kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini,kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia inayo adhimishwa November 25 ya kila mwaka.
Uncategorized

Takwimu ya wizara ya afya kuhusu vitendo vya ukatili dhidi ya watoto nchini,kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia inayo adhimishwa November 25 ya kila mwaka.

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 2 Min Read
Share
SHARE

  Takwimu za Utafiti wa Hali ya Afya na Watu na Viashiria vya Malaria (TDHS-MIS 2015/2016) zinaonesha kuwa wasichana balehe 4 kati ya 10 wamefanyiwa ukatili wa kimwili, na asilimia 17 wamefanyiwa ukatili wa kingono kati ya umri wa miaka 15-19. Aidha, mtoto 1 kati ya 2 wa kike na kiume wa umri kati ya miaka 13-19 wamefanyiwa ukatili wa kimwili. Pia, mtoto 1 kati ya Watoto 10 wa kike amefanyiwa ukatili wa kingono na Mwalimu wake. Kadhalika, takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 27 ya wasichana wenye umri wa miaka 15-19 wamezaa; na asilimia 57 ya wanawake wa umri wa miaka 19 wameshakuwa na watoto ambapo wasichana 2 kati ya 5 wameolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.
 Aidha, kwa mujibu wa Takwimu za Jeshi la Polisi nchini za mwaka 2017, zinaonyesha kuwa matukio 13,457 ya ukatili dhidi ya watoto yaliripotiwa katika vituo mbalimbali vya Polisi Nchini ukilinganisha na matukio 10,551 kwa mwaka 2016. Taarifa hiyo inaonyesha kuwa mikoa mitano (5) ya Kipolisi inayoongoza kwa kuwa na takwimu kubwa za ukatili ni Kinondoni (2,426), Dodoma (1,283), Tanga (1,064), Temeke (984) na Arusha (972).
 Ili kukabiliana na changamoto zilizoainisha dhidi ya Watoto wetu, Serikali imeandaa Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008; Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Jinsia ya mwaka 2001; Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014; Sheria ya Mtoto Na. 21 ya mwaka 2009 na Sheria ya Elimu ya mwaka 1978 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016 ambapo imeweka kipengele kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kusababisha mimba kwa mtoto wa shule na pia kumuoza na hatimaye kukatisha masomo atashitakiwa na akipatikana na hatia atatumikia kifungo cha hadi miaka 30 jela.

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time November 21, 2019
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article Mtoto alie bakwa noveber 9 mwaka huu aiomba serikali kumrinda kutokana na mke wa mtuhumiwa wa Ubakaji kutoa maneno ya vitisho kwa mtoto huyo,Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Next Article Tendo la kikatili alilo fanyiwa mtoto mwenye umri wa miaka 11 ambalo halivumiliki myoyoni mwa wanajamii
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?