Taasisi ya Regional
Tourism and Cultural Network Association inayo jihusisha na kutangaza
utalii wandani makao makuu yake yakiwa mkoani Morogoro wameandaa wiki ya utalii
inayo anza tarehe 25-30 kwa kuja na mradi wa kuwashirikisha watoto
ilikuwajengea uwezo na uelewazaidi kuhusu umuhimu wa kuutangaza utalii wandani
nchini.

Akizungumaza
na Tanzania Kids Time mkurugenzi wa
taasisi hiyo kwenye viwanja vya jamuhuri Bi,Eda
Kapinga amesema lengo kuu la kuwahusisha Watoto kwenye sekta ya utalii nikwa
sababu watoto wanaweza kuutangaza zaidi na kuwa mabalozi wema kila hatua yake
ya ukuaji.

Aidha watoto
walio shiriki katika bonanza hilo la michezo ya mpila wa minguu na wapente kwa
watoto wakike Peter William amesema
serikali na mashirika mbalimbali yakiwekeza kwa watoto yatakuwa yamewa rithisha
kutangaza utalii wa nchi.

Hatahivyo Chacha
Lego ambae yeye nimiongoni mwa washiriki katiak kufanikisha michezo hiyo
amesema watoto wana weza kuleta
mabadiliko makubwa kwenye sekta ya utalii kwa siku zijazo isipokua
tu,wakielimishwa tangu sasa wakiwa katika umri mdogo.

hmm