Taasisi
isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na kulea watoto wenye ulemavu wa akili na
viungo Mkoani Morogoro (EMFERD), imeitaka jamii kuhakikisha inawapa kipaumbele watoto
wenye mahitaji maalumu katika huduma za kijamii, ilikutengeneza usawa na makundi mengine.
Hayo
yamebainishwa na Mlezi mshauri wa taasisi hiyo, Bi. JOSEPHINE BAKITA wakati akizungumza
na Waandishi wa Habari ofisini kwake, huku akibainisha kuwepo kwaTamasha la
watoto wenye ulemavu litakalofanyika Februari 7 mwaka huu, kwa kushirikiana na Kanisa
Katoliki Parokia ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro.

Aidha
Bi. JOSEPHINE amesema lengo la hafla hiyo ni kuikumbusha jamii sambamba na kuyakumbusha
makanisa, madhehebu yote ya dini na wadau mbalimbali kuwasogeza karibu watoto wenye
mahitaji maalumu na kuwapa nafasi zambelesawanawatotowengine “malengo
mengine ya hafla hiyo kubwa ya Usiku wa Mwanga (Night to Shine), ni kutoa kichocheo kwa makanisa, kuanza au
kuongeza huduma ya kwawatu wenye mahitaji maalumu, kuruhusu wageni rasmi wa usiku
wa Mwanga na Familia zao kuwa sehemu ya kanisa na jamii ili wahisi kupokelewa,
kupendwa, kuugwa mkono na jamii kimwili na
kiroho”. Amesema Josephine.

Hata hivyo JOSEPHINE amewataka wadau mbalimbali, kuwaunga mkono, kuwawezesha ili kufanikisha tamasha hilo pamoja
na kujitokeza kwa wingi siku ya Tamasha ili kuhakikisha watoto wenye ulemavu wanakuwa
sawa na watu wengine.

Kwa
upande wake msemaji wa taasisi hiyo VICTOR MAKINDA amesema kuwa, katika tamasha
hilo, kutakuwepo na michezo mbalimbali kwaajili
ya watoto hao wenye ulemavu, huku wakivishwa
mavazi ya wafalme na malkia pamoja na kutembea kwenye zuria jekundu “kutakuwa
na michezo midogo midogo kulingana na uhitaji
wao maalumu pamoja na kucheza muziki laini wenye mguso wakiimani”
amesema VICTOR MKINDA.

Tamasha
la Usiku wa Mwanga (Night to Shine), lilianzishwa na mcheza Mpira maarufu wa nchini
Marekani, Tim Tebow ambaye ndiye Rais wa Shirika hilo ambapo huadhimishwa kila ifikapo
Februari 7 katika nchi mbali mbali Duniani, likilenga kuwapa heshima na hadhi ya
juu watu wenye mahitaji maalumu hususani watoto wenye ulemavu.

Na, Shua Ndereka