Wanawake
wilaya ya sengerema mkoani mwanza wameonesha muitikio chanya katika sekta
ya kilimo baada ya kuona ndio
sehemu ya kujipatia kipato na kusomesha watoto.

Wakizungumza
na TKT Radio wanawake wa kata ya BUSISI wamesema sekta ya
kilimo ni nguzo muhimu katika kuleta
maendeleo na kuweza kutunza familia na kuondokana na utegemezi.

Licha
ya kuwapatia kipato sekta ya kilimo lakini bado wanakutana na vikwazo mbambali
ikiwemo mazao kuharibiliwa na wadudu ambao imekuwa ikiwarudisha nyuma katika sekta hiyo.

Kwa
upande wake mwenyekiti wa AMCOS, Bi MARIAMU MASHIMBA MALALE amesema wameendelea
kutoa elimu kwa wakulima wa eneo hilo ili kuakikisha wakulima wanafata taratibu
ambazo zinatolewa na wataalamu.

EDWIN
KYARUZI ambaye ni afisa kilimo kata ya BUSISI amesema changamoto wanakutananazo
wakulima ni nyingi ikiwemo kuwa na shughuli mbalimbali za kifamilia,
kutoshirikishwa katika mauzo ya nafaka kutokana na baadhi ya wanaume kuwa na
mfumo dume na kuwataka wajitambue zaidi.

Elimu
imeendelea kutolewa na wataalamu wa kilimo katika kijiji cha BUSISI jinsi ya kulima kilimo cha kisasa na sikulima
kwa mazoea.

Deborah Maisa mwanza.