Jeshi la Polisi
mkoani njombe linamshikilia mkazi mmoja
wa mtaa wa
JOSHONI, HEZRON NDONE mwenye umri wa miaka 44 kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na mtoto wake mwenye umri wa miaka 11.
mkoani njombe linamshikilia mkazi mmoja
wa mtaa wa
JOSHONI, HEZRON NDONE mwenye umri wa miaka 44 kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya
kimapenzi na mtoto wake mwenye umri wa miaka 11.
Kamishna
msaidizi wa jeshi la Polisi mkoa
wa Njombe, HAMIS ISSA
amethibitisha kukamatwa kwa
mtuhumiwa huyo bwana HEZRON NDONE ambaye ni mfanyabiashara wa
mkaa ambapo tukilo hilo limetokea mnamo January mosi mwaka
huu.

Kamanda
ISSA amesema taratibu
zitakapo kamilika Bwana NDONE atapelekwa
mahakamani kujibu tuhuma
hizo na kuwataka
wananchi kukemea tabia ya
kuwaingilia watoto kimapenzi ili
kuondoa udhalilishaji katika jamii.
ISSA amesema taratibu
zitakapo kamilika Bwana NDONE atapelekwa
mahakamani kujibu tuhuma
hizo na kuwataka
wananchi kukemea tabia ya
kuwaingilia watoto kimapenzi ili
kuondoa udhalilishaji katika jamii.
Tanzania
Kids Time imezungumza na motto mwathirika wa tukio hilo ambae jina
lake limehifadhiwa amesema kitendo cha kumuingilia kimapenzi kimekuwa
kikifanyika usiku wakati wadogo zake wakiwa wamelala.
Kids Time imezungumza na motto mwathirika wa tukio hilo ambae jina
lake limehifadhiwa amesema kitendo cha kumuingilia kimapenzi kimekuwa
kikifanyika usiku wakati wadogo zake wakiwa wamelala.
Nae
mama wa mwathirika wa tukio
hilo Bi, VALENTINA MKORONGO akizungumza kwa uchungu na hisia za masikitiko amesema
mme wake alimfukuza
asilale chumba walichokuwa wanalala
na baba huyo kuanza kulala na
binti yao.

Baadhi
ya majirani wa
familia ya mtuhumiwa HEZRON NDONE wamesema tetezi za mtuhumiwa kuwa
na mahusiano na mtoto
wake walikuwa wanazipata kutoka
kwa mke wake akilalamika na kushauri kuwa wazazi wa mme wake NDONE
ndiyo wenye kumaliza tatizo hilo.

Afisa
ustawi wa jamii
mkoa wa njombe
Bi, TELESIA YOMO amesema vitendo
vya ubakaji na
ulawiti kwa watoto
wadogo kuanzia mwezi wa julai, 2019 mpaka kufikia mwezi desemba zilikuwepo kesi 25 na mwezi wa julai 2019 hadi january 23 mwaka huu
mkoa wa njombe umekuwa na kesi 27 za
ulawiti na ubakaji.

Jeshi la
polisi kwa kushilikiana na wananchi mkoani njombe wanaendelea kutekeleza darubini ya
dira ya maendeleo
ya Taifa ya mwaka 2025, inayosema KUWEPO KWA MAZINGIRA YA AMANI
,USALAMA NA UMOJA.
polisi kwa kushilikiana na wananchi mkoani njombe wanaendelea kutekeleza darubini ya
dira ya maendeleo
ya Taifa ya mwaka 2025, inayosema KUWEPO KWA MAZINGIRA YA AMANI
,USALAMA NA UMOJA.
MICHAEL NGILANGWA