Wanawake wa jamii
ya Kimasai Wilayani Mvomero mkoa wa Morogoro wameonesha muamko wakujishughulisha
na biashara ndogondogo ili kuwatimizia mahitaji muhimu watoto wao.

Hayo yanajili
baada ya Tanzania Kids Time kuwatembelea baadhi ya wanawake wa kimasai katika kijiji
cha WAMI SOKOINE kata ya Dakawa , MARIA SHABARA na EVA JOSHUA amabao wanauza maziwa na kufuga kuku wamesema
watoto ni hazina ya Taifa la kesho hivyo lazima watimiziwe mahitaji.

Uchumi wa familia
unaanzia kwa Mama na bado wanawake wakimasai hawajachelewa kuwatengenezea mazingira mazuri watoto wao,
ili wasome na kukua wakiwa maridadi,amesema SIMON ROTI mwananchi mkazi wa Kitongoji
cha KANISANI akitoa ushauri kwa wanawake.

Bwana KIFUTUTWARO
KIBASISI ni mwenyekiti wa Kijiji cha WAMI SOKOINE amewapongeza wanawake wa kimasai
kwa kujishughulisha ili kuwasaidia watoto na kwamba sasahivi jamii kubwa ya kimasai
haina tena sababu ya kutowasomesha watoto wala kusingizia ukosefu wa mahitaji.

Wanawake hao
wajamii hiyo wamewaomba wadau wakubwa wa biashara kujitokeza kuwatafuti masoko kulingana
na Maziwa mengi kukosa wateja hatimaye kuharibika kutoka na kukaa muda mrefu.

Hamad Rashid