Ikiwa ni
siku chache zimepita tangu kukamatwa kwa mwanaume mmoja alie mbaka mtoto wake amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani njombe na kusomewa
mashtaka manne, mawili yakiwa ya kubaka na mawili yakiwa ya kumlawiti mwanae
mwenye umri wa miaka 11.

Mwanaume huyo alie julikana kwa jina la EZRON NDONE
mwenye umri wa miaka 44 mkazi wa mtaa wa JOSHONI kata ya MJI MWEMA mkoani
Njombe, amesomewa mashtaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi HASSAN
MAKUBE na kushtakiwa kwa makosa manne
mawili ya kubaka na makosa mengine mawili ya kumlawiti mtoto wake mwenye umri wa miaka 11 .

Aidha Akisoma shauri hilo wakili wa serikali
ELIZABETH MALLYA akishirikiana na ANDREW MANDWA wamesema mtuhumiwa EZRON NDONE
anashtakiwa kwa makosa manne mbapo kosa la kwanza na la pili ni kuzini na
mwanae katika siku na tarehe
isiyofahamakika kinyume na kifungu cha 158 kifungu kidogo cha kwanza (a) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16
ya marejeo ya mwaka 2002.

Kosa la tatu
na la nne ni la ulawiti ambapo anadaiwa
kumwingilia mwanae kinyume na maumbile
kosa ambalo ni kinyume na kifungu
namba 154 kifungu kidogo cha kwanza ( a) na kifungu kidogo cha pili cha sheria
ya kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2002 kikisomwa pamoja na
kifungu namba 185 cha sheria ya mtoto namba 21 ya mwaka 2009.

Mtuhumiwa HEZRON
NDONE amekana kuhusika na makosa yote na kurudishwa Rumande kwa kuwa mahakama
imeshindwa kutoa dhamana kutokana na kuhofia usalama wa mtuhumiwa, na usalama
wa ndugu wanaohusika na mtuhumiwa.

Baadaye
mawakili wa serikali wakaiambia mahakama kuwa upelelezi wa shauri hilo
umekamilika na kuiomba mahakama kupanga siku ya kuanza kusikiliza maelezo ya
awali na hatimaye kesi ikaahirishwa mpaka mwezi februari tarehe 5 mwaka huu.

Na Michael
Ngilangwa-Njombe.
Ngilangwa-Njombe.